Kupatwa kwa walimu tena!

Mwezi 12 wote tulikuwa likizo wameshindwa kutufanyia usahili
Tarehe 13 shule zinafunguliwa alafu eti tarehe 14 ndio usahili

TUNAAGAJE KWA WAAJIRI WETU?

wamenipa sababu nyingine ya kubaki privet kwa mwaka mwingine nijipange

Hayo ni maneno ya dada yangu ambae ni mwalimu privet moja kanda ya kate shule yao take home ni 980K plus nyumba umeme na maji free
 
Uzuri n kwamba sio lazima uende
 
Sasa huyu anatafuta nini mbona pesa ni hizo hizo tu
 
mmmh.......! Atulizane..
 
Kumbe kuna private zipo vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…