Kupatwa na MVI kabla ya kufikisha miaka 35

Kupatwa na MVI kabla ya kufikisha miaka 35

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Posts
11,503
Reaction score
20,892
Msaada wakuu. Mdogo wangu ameanza kupata mvi (zimechachamaa zaidi kidevuni) wakati hata miaka 30 hajafikisha. Mimi ninamzidi umri ila sina hata punje ya mvi.

Inawezekana hii ni upungufu/ukosefu wa kitu chochote mwilini? au ndo ''busara'' kama wenyewe wanavyodai?
 
Mkuu mvi nazo ni tatizo ?
Maisha haya naona kama kwasasa si huyo
ndgyo tu watu wengi sana tena hazijari umri
nimemwona binti kama miaka 15 zimemjaa.
 
Back
Top Bottom