Msaada wakuu. Mdogo wangu ameanza kupata mvi (zimechachamaa zaidi kidevuni) wakati hata miaka 30 hajafikisha. Mimi ninamzidi umri ila sina hata punje ya mvi.
Inawezekana hii ni upungufu/ukosefu wa kitu chochote mwilini? au ndo ''busara'' kama wenyewe wanavyodai?