bagamoyo tatizo ni bahasha na kutanguliza maslahi binafsi mbele! Ukionekana ni mjuaji sana unahoji sana mkutano mwingine huitwi ng'oooKweli kuna udhaifu mkubwa katika media za Tanzania.
Halafu waandishi wa habari ni waoga hawahoji kwa kuuliza maswali magumu ya msingi ili kuondoa ukakasi, wao waandishi kazi yao ''kunakili'' yale yanayotoka ktk meza kubwa neno kwa neno.
Angalau hapa Jamiiforums tunahoji masuala kwa kina waje wajifunze au kama wanaogopa basi waandishi waseme ''mitandao ya jamii inasema hivi, je wewe bwana mkubwa una nini la kusema juu ya hoja hii ilivutia maswali mengi katika mitandao ya jamii.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dr. Juma Mwaka pole, kilele ulichokuwepo sasa tunatafuta kigagula mpiga manyanga mwingine tumuweke. Weee umaarufu ulioupata unakutosha, umekuwa maarufu kuliko hata Magu?
Hapo ndio madikteta utumia majeshi yao yote na kuvuruga katiba ili wabaki kileleniKuwa kileleni sio kazi bali kazi ni kuendelea kubaki kileleni......
Hapo ndio madikteta utumia majeshi yao yote na kuvuruga katiba ili wabaki kileleni
Mkuu usiwe na hofu wako bize na idodomya ndio habari ya mjini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu usinikaangie mbuyu......