Ina maana kuanzia la kwanza mpaka kumaliza ulisoma hesabu, chemia na fizikia? Hujasoma hata hadithi za Bulicheka na kujifunza kitu baada ya hadithi? Fasihi au hata Comprehension nayo hukufanya???? Kilele ndo hicho na wewe unasubiriwa kama una ubavu kama wa yule wa Arusha.BADO NASUBIRI USEME UKWELI WA ULICHOKUWA UNAKILENGA HAPA,NI KILELE HICHO KWELI?
Punde naye akishuka ataanza kubwatuka. teh teh teh, kimsingi hivyo ndivyo maisha yalivyoMleta uzi upo kileleni ktk ufikirivu wa heading zako!
Huku kwema usisahau kupitia ule mzigo utakapokuwa tayari ila nitaarifu.Shikamooo dada umeamkaje huko?
Marhaba na karibu sana.Sawa dada takuambia! Thanks in advance
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]During s.ex, kubaki kileleni kwa mwanaume ni kati ya 6-10 secs only.. mwanamke 14-20 secs...
Sasa kubakia tu kileleni eg wakati wa malove huwezi.. ukifika unalose ufahamu kwa raha unexplainable, like unakufa kwa raha hv kwa muda huo, then unafufuka..
Kubaki kileleni ni ngumu kidogo, sema utashuka utapanda tena, na tena, utashuka, utapanda tena na tena..kuleni vyakula vyenye nguvu vya kutosha, mazoezi na kuwa na afya tele, less stress ili upate raha ya kilele cha mapenzi...!! Vilele vingine vipo tu..
Atashuka kileleniYatamuisha matamko sijui atabaki anafanya nini
mh ya kweli hayo mkuu au ni katika harakati za kunogesha uzi tuBro mshana umesikia kua saiv anataka kama ni ndugu ama mgeni yoyote anaekuja dar lazima awwe na sifa maalum ya kuja na akija asikae sana ..
Kumbe naye yupo kleleni?!Dr. Juma Mwaka pole, kilele ulichokuwepo sasa tunatafuta kigagula mpiga manyanga mwingine tumuweke. Weee umaarufu ulioupata unakutosha, umekuwa maarufu kuliko hata Magu?
mhh bora niwe sijuw maana kujua habar kama hiyo ni kama kupigisha shoti ubongo wa mbeleNi kweli kabisa sio skonyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila tuache utani jamani ,kufika kileleni kutamu sana sorry kubaki kileleni. Ndio maana matamko kwa viongozi wetu yamekuwa mengi kisa kubaki kileleni. Asante Mshana kwa fasihi.
mhh bora niwe sijuw maana kujua habar kama hiyo ni kama kupigisha shoti ubongo wa mbele