Umesahau na kufyatua watoto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji30] [emoji30]nimekuelewa sana ila nahisi hilo hata mkuu wa kaya yetu pia yupo hivyo maana ile kauli yake iliwatisha wengi MIMI SIJARIBIWI jamaa alitisha sana aiseee maana uongozi wake upo ivyo full kupayuka
Kweli kileleni kutamu wamuulize bwana mdogowazee wa matamko wako wengi sana,kwel kilelen kutamu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ili wenye meno watafune...Mkuu usinikaangie mbuyu......
Hâta aliyemteua yupo vilevileView attachment 384442kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni
Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media
Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu
Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko pekeyake? View attachment 384443
Hahhahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😛😀😀😀
Haaaaaa... haaaa.. kwiiikwiiiii..
Kelele | Kupayuka | za kilele cha mapenzi ni dawa kubwa sana ya stress, and kipoozeo cha maisha..
Haaa..!! @ Lumumba now driving to Regency MC..!!
Ha,ha haaaaa...Zama za matamko na kupayukaYawezekana tumetoka kwenye zama za "kuunda tume" kwa kila tatizo na tuko kwenye zama za "matamko" kwa kila tatizo!!!
Waandishi wa bahasha!Kweli kuna udhaifu mkubwa katika media za Tanzania.
Halafu waandishi wa habari ni waoga hawahoji kwa kuuliza maswali magumu ya msingi ili kuondoa ukakasi, wao waandishi kazi yao ''kunakili'' yale yanayotoka ktk meza kubwa neno kwa neno.
Angalau hapa Jamiiforums tunahoji masuala kwa kina waje wajifunze au kama wanaogopa basi waandishi waseme ''mitandao ya jamii inasema hivi, je wewe bwana mkubwa una nini la kusema juu ya hoja hii ilivutia maswali mengi katika mitandao ya jamii.
Ha ha ha ha ha HEADING ilinichanganya Brother nilfikiri kilele kingine ***** ha ha ha ha ha
UmethubutuView attachment 384442kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki