Nipo pamoja na mdau alieweka maneno ktk hii picture.Hii kitu ni udhalilishaji mkubwa kwa wanaume wenye agenda ya siri nyuma yake... Na yeyote anayeupigia upatu kama si mteja basi mtumiwaji...
Samahani kwa picha yenye maudhui yenye ukakasi View attachment 753609
Ni kwa vile kila analofanya hakuna mamlaka yenye nguvu kumkemeaNipo pamoja na mdau alieweka maneno ktk hii picture.
Bora Bwana akatwaa tu.ila nimesoma hii post mwanzo nadhan kilichozungumzwa hapa ndicho anachokifanya makonda,anacheza na akili za watu ili daima dumu awe midomoni mwao wakisemezana kumuhusu hata kama ameongea ujinga.
How atakuja mtu anilazimishe kwamba unatakiwa upimwe ugonjwa fulani tena kwa lazma?kama kipindupindu sawa maana kweli huwa unakuwa na hali ya hatari kuambukiza sio tezi dume.doctors watakaomsiliza huyu jamaa nao itabidi vyeti vyao vichunguzwe.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kileleni kutamu!
Wanaochelewa kufika kileleni wanasaidiwa na kupayuka [emoji40]
dudubaya ni ngangaripoa?Nipo pamoja na mdau alieweka maneno ktk hii picture.
Bora Bwana akatwaa tu.ila nimesoma hii post mwanzo nadhan kilichozungumzwa hapa ndicho anachokifanya makonda,anacheza na akili za watu ili daima dumu awe midomoni mwao wakisemezana kumuhusu hata kama ameongea ujinga.
How atakuja mtu anilazimishe kwamba unatakiwa upimwe ugonjwa fulani tena kwa lazma?kama kipindupindu sawa maana kweli huwa unakuwa na hali ya hatari kuambukiza sio tezi dume.doctors watakaomsiliza huyu jamaa nao itabidi vyeti vyao vichunguzwe.
Aliyetangaza ndio zero brain
View attachment 384442Kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni.
Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media.
Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu.
Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko peke yake? View attachment 384443
[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo yule kubwa Lao ambae ni bingwa wa kupayuka payuka.nadhani wote hujifunza kwake.
Mtwara mko tayariiiiii, he is coming
USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO