Kupayuka wakati wa kuongea na cell fone

BANGAMBONDA

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
7
Reaction score
2
Nakerwa na tabia ya watu fulani kuongea kwa sauti kubwa kwa simu ya mkononi kiasi cha kudraw attention ya wengine, wakashindwa kuconcentrate namambo yao kipindi hicho wakimsikliza yeye. Nadhani hii si uungwana. Au vipi?
 
Ah ah ah ah, huyo jamaa atakuwa kaka na wapopo uko Nigeria tena kabila la Igbo au Youroba...

Kuna jamaa mmoja aliwahi sema kuwa Only Nigerian and gay Africans are loud.... The heterosexual ones are quiet.

Soma kisa iki toka tovuti.
 
Mimi huwa naongea taratibu kama staki. Lol. Wanaopayuka wananikera.
 
Mnaokereka poleni jamani!
Mamaangu mzazi hata umwambieje na hata iwe usiku wa manane lazima apaze sauti na hapo kazima kila kinachotoa sauti na atahamia palipotulia!
 
ni tabia ambayo c nzuri kwani inatakiwa uwe na privacy yako ktk maongezi na c kila kitu mtu akusikie unaongea nini... je kama mko kumi na kila mmoja akaongea kwa sauti naaini hakutakuwa na masikilizano
 
Wanahitaji kufunzwa taratibu kwa kuwa huwa hawajisikii wanapoongea
 
Nakerwa na tabia ya watu fulani kuongea kwa sauti kubwa kwa simu ya mkononi kiasi cha kudraw attention ya wengine, wakashindwa kuconcentrate namambo yao kipindi hicho wakimsikliza yeye. Nadhani hii si uungwana. Au vipi?
inategemea labda simu yake ya kichina
 
That is true pal! Unajua kuna baadhi ya watu hawajui simu vizuri. Nadhani wanashindwa kutambua kua ile sehemu ya kuongelea ni microphone, na inafanya kazi kama kipaza sauti. Tofauti ni kwamba, ukiongea husikii wewe, ila yule unayempigia. Sasa watu wanachanganya mambo kwa kutojua kuwa simu imedizainiwa ili mtumiaji aongee kwa sauti yake ya kawaida kabisa, na si kupayuka!
 
Ni kweli hiyo inatokea sana but yawezekana mtu anamatatizo ya kusikia huwa inachangia kadri anavyohisi kusikia kwa mbali ndivyo naye anavyoongeza sauti pia matatizo ya kimawasiliano unae ongea nae anapo sema ckusikii hapo ndipo inabidi sauti iongezeke ukizingatia unayeongea nae anakupigia mchongo wa maana vilevile tabia nazo pia
 
hahhaahahahahaha lohh

umeni kumbusha kuna jamaa moja
kwenye miaka ya nyuma kidogo..
alitoa simu yake mfukoni akaiweka sikioni..
kaanza kusema ..

"aahhhhh bwana lazama"
"hahhaa i know she is beautiful"
" muhimu sana bwana I will merry her"

(Ilikuwa inaonekana anaongea na mtu mwingine
Upande wa pili wa simu)

wakati simu yake iko sikuoni ...
mara ikaanzaaa kulia..

tulicheka ile mbaya mara ya kwanza jamaa alikuwa
anaringishia tu simu na kuongea umombo..
Halafu papo hapo mtu akampigia simu ukweli...

halafu akasema hizi za kisasa ndo zimetoka...lohhhh
 
popo ndio wanapenda kupiga kelele kwenye cell phones hasa wanigeria
 
Umkute kwenye daladala lililojaa halafu anatumia lugha ya kwao!
 
Ah ah ah ah, huyo jamaa atakuwa kaka na wapopo uko Nigeria tena kabila la Igbo au Youroba...

Kuna jamaa mmoja aliwahi sema kuwa Only Nigerian and gay Africans are loud.... The heterosexual ones are quiet.

Soma kisa iki toka tovuti.
Mkuu hii nimeipenda,cause kabla sijafika hapa akili yangu ilikwenda kwa hawa jamaa,si mchezo hawa jamaa ustaarabu wa kuongea umewapitia kushoto,na ukimtazama kama umemwambia ongeza,ukikutana nao kwa bahati mbaya ndani ya usafiri wa umma basi unaweza kushuka kituo sio chako,si unajua mtu mweusi akifanya manyago yanakuwa yetu sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…