Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti ndani ya Simba, bila kuchoka na yeye hata wiki haikumalizika akaenda kileleni kule kule kulikokuwa na kibegi, akaonekana kwenye vyombo vya habari cku cache baada ya simba kutoka huko na yeye akaenda huko huko kileleni akafanya yake.
Nilipoona injinia kaenda na yeye kule walikoend simba nikajua mipango ndani ya Simba inavuja sana.
Sasa jamaa wamebeba ndoo mara ya tatu mfululizo lkn mganga wao kawaambia lazima warudi tena kileleni wakamalizie kazi waliyoifanya ya kuishusha simba kule kileleni.
Unaweza usiamini lkn ukweli ndio huo, kibegi chetu kilishushwa muda mchache baada ya injinia kwenda kileleni na yeye akashusha kibegi chetu.
Kwahiyo kombe sio kwamba linapelekwa mlima kilimanjaro hapana kule wanakwenda kumalizia ahadi walizotoa kwa mizimu endapo wangefanikiwa kubeba ubingwa, kama wanataka kufa wasiende.Watapukutika mmoja baada ya mwingine.
PIA SOMA
- Record: Yanga yawa timu ya kwanza kufikisha kombe mlima Kilimanjaro