Swala la kupenda ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu na ni mojawapo kati ya mahitaji muhimu sana ya kijamii kwa mwanadamu. Kila mtu anahaki ya kupenda na kupenda. Kwa upande wa upendo wa jinsia tofauti hasa ule wa kimapenzi swala la kupenda ni tofauti na upendo wa kawaida, na umekuwa na mikanganyiko mingi hasa katika hatua zake. Je ukweli ni upi..kipi kinatangulia kati ya kupenda au kutamani? Je, Unaweza kumpenda mtu bila kumtamani?
Very much possible waweza kumpenda mtu bila kumtamani. I think love comes first and then kutamani later, if goes otherwise, utakuwa ngono ndio shinikizo la hayo MAPENZI