Dawa ni wewe mwenyewe, usiruhusu mawazo ya ngono akilini mwako sana, ukiona yanakuja jariku kuwa busy na kitu chochote, pia jitahidi kufanya mazoezi ya viungo kila siku. Heshimu maandiko matakatifu kama ni kanisani/msikitini hudhuria maandiko hayaruhusu kabisa kufanya ndono na mtu asiekuwwa mme/mke wako. Kama umri unakuruhusu oa/olewa maana ni vizuri kuchagua kuadhirika kwa sababu ya ngono au kusubiri ili mipango yako ikamilike.