Kupenda mtoto wa kishua

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Dah kuna demu wa kishua Nina mpenda ila mwaka wa pili sasa sijaonana naye tuna chat tu Lisa kwao awamruhusu kutembea peke yake wadau
 
Avatar na unayoyaongea tofaut... Mwone DB mkubwa weweeee
 
Kigwangala anawatafuta kumbe mmejificha humu
 
Dah kuna demu wa kishua Nina mpenda ila mwaka wa pili sasa sijaonana naye tuna chat tu Lisa kwao awamruhusu kutembea peke yake wadau
Umekutana naye mitandaoni?
Atakuwa wa uswaz tu anakuaongopea mkikutana utajua kuwa alikuwa anakudanganya ndo maana hatak mkutane...
we mwaka wa pili et anabanwa kwani yeye ng'ombe wa maziwa hatoki kabisa zizini?
 
Mimi siku zote nilikua najua wewe ni mwanamke.
 
Umekutana naye mitandaoni?
Atakuwa wa uswaz tu anakuaongopea mkikutana utajua kuwa alikuwa anakudanganya ndo maana hatak mkutane...
we mwaka wa pili et anabanwa kwani yeye ng'ombe wa maziwa hatoki kabisa zizini?
 
Watoto wa kishua nao shida! Kuna kaka mmoja alifosi kutaka kuoa mtoto wa kishua akati yeye hana mbele wala nyuma... Akamtia binti mimba, wazazi walipogundua wakamtoa binti yao mimba na kumpeleka nje kisoma. Wala hawakuongea na jamaa masikini!
 
Huyu wa jamaa sio wakishua atakua kakutana vitoto vya fb vya uswaz vinajifanyaga vya kishua kageuza chartmate
 
Mwambiee akuelekezee kwao japoo umeonee angalau kdg tu njee ya geti laoo
 
una uhakika ayupo fb wala atumihi instagr yupo whatasap tu
Endelea kuchat naye wengine wanatumia.... we utabaki chartmate...
Narudia tena miaka miwili kwani yeye ng'ombe wa maziwa uwa hatoki zizini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…