Mabomu ya mbagala yalipolipuka watu walisahau wanayoyatamani, na wakaokoa wanayoyapenda.
Mfano ni kuokoa nafsi yako h'fu nyuma ukaacha watoto, nyumba, magari, pesa, mke, mchumba, mume, n.k.
Usishangae kuona mchaga anakufa akiokoa pesa yake isiungue moto...ndo mahaba hayo...
Tamaa ina aibu, mfano mtu anatamani tinginya lakini anaona aibu kukatisha nalo mtaani, Kupenda hakuonei aibu unachopenda.
Penzi la tamaa hufanyika kwa siri, Penzi la kupenda halifichiki.
Siku nikipenda nitakutumia Kitabu changu chenye volume kama 7 kuhusu somo hili. Natamani nifanye hivyo ila nashindwa...