<p></p>
<p> </p>
huo ndio ukweli upendo ni matokeo ya tamaa, ukishamtamani msichana/mvulana/kitu ndio unapenda, huwezi sema unapenda kitu kisicho kuvutia.
ila kwenye mapenzi iko hivi wako wanaaotamani bila kupenda, utawasikia wakisema napenda msichana mwenye makalio makubwa ohh shepu, chuchu, mara una macho mazuri ohh miguu mizuri sijuhi hips nk. watu Kama hawa wameishia kwenye tamaa hajafika kwenye upendo. mwenye kupenda huwa hoja zake ni msingi Kama kilichomvutia kwako ni makalio au kisa wewe HB halafu umepanda hana haja yakukwambiakwambia chakufanya atajitahidi kwakila namna asikupoteze.
JIBU HILI HAPA
tamaa ni pupa, kutokuvumilia, kutokujali na aibu
upendo ni subira, ustaarabu, kujali na upole