Tunacheka. Lakini kweli hao wagonjwa wa kupenda ngono wapo. Mfano wanaume wanaoamini kuwa hawawezi kulala bila kutia dudu lao mahala. Au hawawezi kulala bila kuwa na mwanamke kitandani. Si wanaume tu wagonjwa hata kuna wanawake wenye ugonjwa huo.
Hao wagonjwa kila mara wanawaza ngono, watapata wapi, wataona wapi. Na hao wagonjwa wakifanya ngono si kwa ajili ya mapenzi ila basi tu mradi wafanye. Wakikosa wanaishia kwenye punyeto. Na mtandao umesaidia kueneza huo ugonjwa.
TIBA NI KUANZA KIDOGOKIDOGO KUACHA KUFIKIRIA KWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUFANY A KAZI ZAIDI.FANYA MAZOEZI,ACHIA AKILI IFANYE KAZI ZAIDI KWA MAZINGIRA YASIYO HATARISHI,PUNGUZA POMBE KAMA NI MNYWAJI,PUNGUZA VILEVI ,MIRAA,SIGARA,BANGI,UNGA, NA KUKAA BILA SHUGHULI.ACHANA NA VIKUNDI VISIVYO NA TIJA.SALI HUDHURIA IBADA.MAKONGAMANO,KUWA NA UTII.KAA NA WAZAZI,SOMA ZAIDI VITABU VYENYE MANUFAA,TEMBELEA SEHEMU TOFAUTI ,KUTANA NA WATU TOFAUTI.BADILISHSA MFUMO WAKO WA MAISHA