ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Watu wengi wanazungumzia mapenzi, kupendwa na kupenda ivi wanamaaninisha nini naninani? Mwenyejukumu la kumpenda mwenzie Me&Ke!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WrongKupenda au kupendwa au kutopemdwa ni temporally emmotional ,
Hivyo usishangae leo unapenda mtu alafu baada ya muda humpendi tena, au ukapendwa na mtu alafu baada ya muda akawa hakupendi tena , hiyo ndio kupenda
Sawa jamaaaa,Wrong
Jukumu ni la wote kupendana but muhimu ni kuangalia upendo huo ulitokana na nn, mapenzi murua ni yale yaliyo na urafiki ndani yake but pia tambua kwamba upendo au mapenzi ni second feeling after LIKE au mnaita Kutamani, kila kitu huanzia na like na hyo ndo the start of everything,huwezi tambua au kuelewa kupendwa ni nini bila ga kupenda, naishia hapoWatu wengi wanazungumzia mapenzi, kupendwa na kupenda ivi wanamaaninisha nini naninani? Mwenyejukumu la kumpenda mwenzie Me&Ke!