Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
duh.............
...ningeyasema bayana lakini naogopa kuzifufua chuki zilizopita. Poza roho ndugu kwa yaliyokupata kwa sababu ya kupenda. Pendo lako limekuwa kama limepita na maji ndani ya ziwa ukabaki na huzuni.
Najua penzi ni donda la rohoni lakini usichukie. Ukutanapo na mwenzio tabasamu "hallo" mfariji ukiweza.
Ukae ukielewa kupenda sio ndoto ya usiku mmoja
Mmmmmm?
MUNGI sio fumbo . hiyo mistari ni part ktk wimbo wa ddc mlimani park orchestra, bahati mbaya ulikuwa hujazaliwa .
MUNGI sio fumbo . hiyo mistari ni part ktk wimbo wa ddc mlimani park orchestra, bahati mbaya ulikuwa hujazaliwa .
Naweza pata wapi MP3 ya hii ngoma, inanikumbusha mbali sana wakati wa udogo, wakati huo redio moja tu, RTD.....ningeyasema bayana lakini naogopa kuzifufua chuki zilizopita. Poza roho ndugu kwa yaliyokupata kwa sababu ya kupenda. Pendo lako limekuwa kama limepita na maji ndani ya ziwa ukabaki na huzuni.
Najua penzi ni donda la rohoni lakini usichukie. Ukutanapo na mwenzio tabasamu "hallo" mfariji ukiweza.
Ukae ukielewa kupenda sio ndoto ya usiku mmoja