Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

Mwanamwaiche

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2022
Posts
665
Reaction score
968
Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara.

Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama unanidangia sepa jinga sana yaani sasa hivi umegeuka soko la owino?

Kama unashindwa kujiunga dakika na sms, wewe si ukiona niko na bwax la pesa utantilia sumu, sitaki mazombi. Mnadhalisha wanawake akili gani za kizombi, hata safari ya elfu1 ya boda nayo ulipiwe.

Hata umkitoa na mzuka hata wa elfu20, 30, 50 bado atabip.
Nshawatia adabu kama watatu punde tu baada ya kuwapa elfu30 wakabip baada ya kufika mahome kwao. Nikachekecha baby ebu hio pesa nilokupa niwekee Airtel money sasa ninunue Luku ya Dukani, nikitoka ntaenda ATM unambie ulipo nije nikuongezee mng'ao. Wote wakajichanganya wakatuma kwa nyakati zao.

Nikazima simu nikaondoka ghetto nikafunga mlango nikaacha watoto wakali majirani nikawapanga in case wakija waishie getini, Uncle kaenda kununua engine mount ya gari imeharibika. Kaondoka amepagawa gari imemvuruga..

Whatsapp status inasoma bye "Utamaduni wa kunibipu koma sijawahi kuwa Danga la mpuuzi yeyote" Naiona hiyo...hiyo...hiyo... Naiona hiyo....

Hali hii inaniudhi mimi tu au ....leteni mbinu na visa..... Kudangiwa sio poa

Siio katili kiihivo ila muhimu kutoka somo la kibabe sometimes.
 
Unaokota tunda jalalani then unalalamika limeoza?

Acheni kuokota takataka
Shame on you .
Hivi unaijua tabia wewe? Demu ana kazi take home Laki 7, 8, unamwita sehemu anafika anasema naomba elfu1 ya bodaboda, na hizo elfu20,30,50, zinatoka Kwa lugha ya nauli na vocha, kubipu ni dharau sana.
 
Ni vile yenyewe ni mabichwa buyu kujifanya hawaelewi ila kwa haya madongo wanayotupiwa mitandaoni nahisi wanawake wadangaji wangetafuta ustaarabu mwingine wa kutoka kimaisha.
Ni kama vile mbinu zao zote zishashtukiwa.

Ila kuna mdau kaongea point hapo.

Unaokota tunda jalalani then unalalamika limeoza?
Ukitafuta mikitu ya ovyo lazima ikupige vizinga vya ovyo.
 
Mwamba unafeli. Buku kha! Nalo lonakuumiza akili. Ani nyie ndo tunawachapia manzi zenu
Mi nashangaa demu anaomba buku ya bodaboda ni aibu anashindwa kulipa wakati anajua hua anaondoka na posho daily seriously? Hapana bhna
 
Back
Top Bottom