Kupendwa na mchumba wa mtu.

Kupendwa na mchumba wa mtu.

famo + g

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
5
Reaction score
0
habaini wana jf.Naomba ushauri wenu mimi ni kijana wa miaka 26 imetokea nimependwa na msichana ambae ni mchumba wa mtu ambae tayari alikua ameshatolewa mahali na nipo nae kwa miaka 3 sasa tangu amgeuke huyo aliyemtolea mahali,ila umetokea mgogor mkubwa sana baina yake na wazazi wake hadi kufikia hatua ya kutaka kufukuzwa kwao,kwa upande wangu nimeingiwa na hofu baada ya kugundua hayo yote naombeni ushauri nifanyaje?
 
Back
Top Bottom