Kupendwa na usiyempenda .....!!

 
kwahiyo unamlaumu marehemu kwanini hakukuelewa?????????/R.I.P br
 

Mkuu since unataka kwenda kisheria ngoja twende kisheria...

Manslaughter ni kuua bila kukusudia; na kwenye case za kuua mara nyingi inabidi kuwa na overact na sio omissions, in rare cases of omissions inabidi kuwa na negligence na duty of care.., mfano Dr na Mgonjwa au mzazi na mtoto, ila mtu wa kawaida halazimishwi ku-take care mtu mwingine hata wewe kwenye pita pita zako ukikuta mtu anazama kwenye maji hakuna sheria inayokulazimisha kwenda kumuokoa..

Tukija kwenye case ya mleta hoja yeye mwenyewe anafeel guilty na kiubinadamu rafiki yako akipoteza maisha tena kama ulijaribu kuongea nae jana yake na unafeel kwamba labda haukuwa nae karibu kwenye matatizo lazima hii itakuuma,

lakini hata kama mleta mada angedhani yeye ndio causation ya yaliyotokea haifanyi kwamba yeye ndio cause..., Mfano wewe ukiwa una bunduki na unataka kumuua X na ukaenda na kumpiga risasi na ikagundulika baadae kwamba alishakufa kwa kunywa sumu wakati wewe unampiga risasi.., basi hapa wewe hautakuwa na hatia ya murder wala manslaughter... Point being mpaka wewe kuwa na hatia inabidi acts zako au omissions ziwe causation ya kile kifo.., jambo ambalo kwenye hii case halipo...
 


huna kosa na wala usiwe na wasiwasi. ktkt mawasiliano yenu hakuna ambapo uliwai kumuahidi kuwa utampa sex siku moja. umekuwa karibu naye kama rafiki wa kawaida. wewe huna kosa. isipokuwa kama dhamira yako ilikuwa inafikiria kumpa siku moja , na amekufa kabla hujampa labda useme kuwa bora ungempa mapema, kwa maana sasa hutamwona tena ktk ulimwengu wa udongo. kifo ni kifo tu, huenda hata ungemkubali hiyo 1998 bado angekufa kwa kifo cha msongo wa mawazo vilevile,

kuhusu kumuota usiku , hiyo ni mawazo yako tu, siyo yeye huko aliko. yeye kapumzika na hayajui tena ya huku kwa dunia ya udongo. kwakuwa unawaza juu ya hilo tukio mchana kutwa, ukilala ubongo unarudia yale ya mchana ktk staili ya ndoto. kwa sasa ili hilo la kuota usiku lisiendelee unatakiwa kujiweka bize, uwe na mambo mengi ya kufanya mchana, na unapolala ulale ukiwa umechoka , so utalala tu bila ndoto mbaya.kama huna kazi nyingi, bali unao marafiki wa karibu, wakati huu ndo uwatumie kuongea nao sana, hasa usiku mpaka ukatize mazungumzo kwa usingizi. itakusaidia
 

Hapa wewe unacho-feel ni normal kwa kupoteza mtu wa karibu rafiki/kaka.., kwahiyo pole kwa hilo ila ukweli wa mambo ni kwamba hauna hatia yoyote even morally.., just cherish the good moments ulizokuwa nazo na huyo kaka na wala usimkumbuke kama mtu aliyekupenda kimapenzi bali kama kaka uliekuwa nae karibu na kusaidiana issue kama ndugu.

Hakuna kitu ambacho ungefanya ambacho kingerefusha maisha yake, na wala kifo chake hakikuwa (A Broken Heart).., Its just normal People Die
 
Sasa tia akili, akikutokea tena kwenye ndoto akakupenda tena ukikubali tu na wewe DEAD! Asubuhi yake wanakuzika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…