Kupendwa raha nyi acheni tu

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi,

Siyo nawaringia ila Kupendwa raha.

Usiku huu nilipotoka mzigon (kubeba boksi) nilipanda basi nikakaa na mbibi. Nilipofika kwenye kituo changu nasimama kushuka yani kanishika mkono nakunizuia nisisimame na wala hatukuwa namazungumzo yoyote. Yani kakomaa na kungangania kabisa ikabidi nishuke kituo kinachofuata
 
Kwahiyo unaturingishia dodii..
 
Mwanangu nataka kuja kubeba mabox huko nifanyie mpango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee acha uongo wewe. Nyege tu zinakusumbua.
 
Usibadilishe route Kesho, huenda akakuletea smørrebrød.
 
Konda hakukulipisha nauli ya umbali uliopitiliza? Baada ya kushuka ukapanda gari kurudi kwako au ulitembea? Aise huyo bibi kakuona pimbi kweli.
 
Konda hakukulipisha nauli ya umbali uliopitiliza? Baada ya kushuka ukapanda gari kurudi kwako au ulitembea? Aise huyo bibi kakuona pimbi kweli.
hamna konda kwenye haya mabasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…