usimpotezee muda dada wa watu, muache tu kwa amani kabla haijawa too late.
Sawa na huyu single mama mmoja, kinganganizi sijawahi ona, mbaya afu ana mtoto sasa nyodo nikinuacha hakubali nikijifanya wacha nimfariji anaanza jeuri.
Nadhani hanijui kuwa mimi ni nishai wacha nitamtolea uvivu.. [emoji205]
Sent using Jamii Forums mobile app