Kupendwa sana na mtu usiyempenda

Wanaume ata sijui mnataka nini.... Alafu baadae mnaanza kuwatafuta wale mliowatenda. Ujue mwanamke akisema basi ni bs kweli kweli . ataumia kwa muda lkn atakuja mpt anayemfaa na ndipo majuto yanakuwa ni mjukuu. Mwambie tu ukweli mapema kabisa usimpotezee muda. We subr utakayempenda vizuri vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapenzi yanakuwa mtihani sana kwangu,nataman nimpende kama anavyonipenda lakin nashindwa.
Muache huyo mwanamke aende zake, maana hata ukimuoa kwakua hukumpenda utamfanyia vituko na madhara yake yanaweza kuwa makubwa baadae hata kwa watoto wenu kama mkijaliwa watoto. Usimuoe maana hata maandiko yanasema mwanaume anatakiwa ampende mkewe na mwanamke amuheshimu mumewe.
 
 
Ukimuoa utajuta mara moja tena kidogo sana na utampenda baadae sanasana. Ukimuacha utajuta mara mbili mpaka tatu...na inawezekana ikawa mpaka mwisho wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…