Kupewa mara moja tu kwa mwezi...

Nivea NAKUSHUKURU SANA KWA WARAKA WAKO Leo nikirud nyumbani nalianzisha darasa. Asante sana
 
Pole sana mkuu.
Sijui imani yako ila kama ni mkristo, tafuta mchungaji wa ukweli ufanye naye maombi. Mambo haya huwa yanaandamana sana na mambo ya kipepo. Vita vyetu si vya damu a nyama bali ni vya kiroho zaidi.
Nimebold mchungaji wa ukweli maana wengi wao wamekaa kibiashara ziadi.Mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga
 
kama unabembeleza kama unaomba emplyment na unanyimwa basi hau-qualify kwenye hiyo position!!!:bange:

hahahahaaaaa!!!............pole sana, katafute kazi inayokufaaa.........!!!!

:happy:
 
mambo haya bana.....sasa kwa nini....?....khaa!!...

Sijui mnamuonea aibu kumwambia ukweli ?
Si mwambieni tu? Mnammung'unyia maneno ya nini ?
Braza mleta mada ni hivi : -
Hapo hamna ndoa! Ilikwisha expire!
Huo sio mshahara wa kupata mwezi mpaka mwezi .
 
Nimewahi kusikia kesi kama hizi nyingi lakini mara nyingi hutokea kama mume yuko bize sana na kazi na kushindwa kuonyesha ukaribu na mapenzi kwa mkewe, hutokea pia kama mke kapata nyumba ndogo na saa nyingine ni frustration ambazo mke anaweza kuwa kazipata kwa sababu mbali mbali either za kiofisi au za kifamilia.

Jaribu kutumia njia rahisi zaidi ya kuwa karibu naye na kumjali. Mnunulie zawadi mbali mbali na pia mtoe out mara kwa mara na anza ku-observe mabadiliko. Onyesha kumkumbuka na kum-miss pia mtumie hata meseji za mapenzi na kumtania. Kama ni matatizo ya kisaikolojia na frustration yanaweza kuishi kwa njia hii.

Hili zoezi likishindikana, fanya uchunguzi wa kina isije kuwa kuna kidudu mtu kishaanza kukuibia.
 
kama unabembeleza kama unaomba emplyment na unanyimwa basi hau-qualify kwenye hiyo position!!!:bange:
Hahahahaaaaa!!!............pole sana, katafute kazi inayokufaaa.........!!!!:happy:
ka! Coments zingine bana, wakati namuoa mbona niliqualify iweje leo sina qualification?
 
Hivi kati yako na huyo mwenzako, ni nani hasa aliyemuoa mwenzake?
 

nivea mbona una busara hivyo umeolewa au uko single?
 
Last edited by a moderator:

labda unampaka shombo tuu,na anakolezwa kwa wengine..jitaidi siku uwajibike ipasavyo kila siku atakua anaomba huyo.....dunia yako chaguo lako chagua kuacha uvivu,chagua kua mbunifu, na hakikisha umeipata Gspot ya mkeo....
 
Pole sana Mtoa mada
Nadhani kuna tatizo kaeni chini muongee
Kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha.

FirstLady1 kama lipi...acha uchoyo wa elimu lol.............
 
Last edited by a moderator:
mkuu ndio maana mwanaume kuwa na mke mmoja ni ngumu,tafuta kidumu mkuu utakufa kwa presha bure!
 
hahaha,anataka gangster love huyo,
 
Kuna tatizo kubwa kwenyd ndoa yenu.Binadam akiwa hali chakula kama inavyotakiwa hupelekwa hosptl kwani ni lazima kutakua na tatizo.Na mke wako atakua na matatizo.Kama ham yake iko chini aeleze mtafute solution,kama hataki kuna tatizo ambalo ni serious!
 
Hebu tafakari vizuri.........hiyo mara moja kwa mwezi huwa anaitoa tarehe za mshahara? Yaani mwisho wa mwezi
 
nachukizwa sana na hali hii.....na ninalaani kitendo hiki....mimi kama mwanamke ninakemea ukiukwaji wa haki za binadamu.....

Preta inatia matumaini kama hata nyie mnajua tunahaki zetu ambazo nyingi wenzio huwa wanatudhulumu tena kwa uonevu wa kukusudia tu nasi huwa tunabebeshwa misalaba isiyokuwa ya kwetu......lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…