Pole sana mkubwa.Habari zenu wana jf, nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenz, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakua mkali yaani mpaka nibembeleze kama naomba employment ukipewa unaambiwa utapata tarehe kama hi next month nampenda sitaki kumsaliti naheshim ndoa yangu. Naombeni ushauri nifanyaje walau niongeze doz.
je huko nyuma b4 ndoa alikuaje? je mlido wakat hamjafunga ndoa, dozi ilikuaje? hiyo background itanipa mwanga wa kukushauri...je ni mlokole? maana kuna watu hufika mda hupata idea conflict kwamba tendo la ndoa ndo dhambi kubwa....pia kuna 7bu kibao zisabishazo bt background inamata zaidi. BEFORE MAMBO YALIKUA MAZURI NA UNYUMBA ILIKUWA SAFI. SIJUI NI SHETANI GANI KAINGILIA NDOA YANGU.
Habari zenu wana jf, nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenz, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakua mkali yaani mpaka nibembeleze kama naomba employment ukipewa unaambiwa utapata tarehe kama hi next month nampenda sitaki kumsaliti naheshim ndoa yangu. Naombeni ushauri nifanyaje walau niongeze doz.
kama unabembeleza kama unaomba emplyment na unanyimwa basi hau-qualify kwenye hiyo position!!!:bange:
hahahahaaaaa!!!............pole sana, katafute kazi inayokufaaa.........!!!!:happy:
Young_Master wangu, nitakupa each our bby wangu, mpaka ukinai mwenyewe! lolest! pole kaka mwaya mi no comment kwako jamani kha!
Huyo mwanamke angekuwa mke wangu ningeisha mrudisha kwao, bora nikae bila mke kuliko kukaa na mke kama huyo.
Hilo ni tatizo la wanawake wengi sana kwenye ndoa. Nasema hivi sababu hata mie yalianza kutokea, nikampa yellow card aende kwao mamake aliponiuliza nikamuelezea aliona aibu kubwa na kumsema mwanae aliporudi mashine naikamua kwa raha zangu! In short wanawake hujisahau pia, hiyo ndo maana huleta nyumba ndogo, yani hajiulizi we mwanaume wake mwezi mzima unapuchua wapi? Huyo anakutafutia lawama au maukimwi tu. Ila mchunguze anaweza akawa anamtu anampuchua nae wanawake wakinogewa husahau mazee, nasema hivi kwani yote yanawezekana mkuu, chunguza sana, haiwezekani mwezi! Du!
Kunw wanawake wengne nyumba ndogo wana ham nazo