Kupewa mara moja tu kwa mwezi...

Mkuu pole kwa hii situation...hebu mshirikishe mke wako kwenye hili, si vyema kukunyima haki yako ya msingi!!..au kuta tatizo analo? ongeeni..
 
Tafuta sehem nyngn piga mzigo usimuulze k2, cku akitaka mwambie asubr mwk mj uliopita ndo utampa
 
salaaale....ningepata Kaka huyo....angeniomba talaka.....kwanza namletea mapacha WA fastaaaa.....NA simuombii tenaaaa...
 
Pole sana kaka kwa kweli maisha ya ndoa lazima mwanaume uishi kwa akili na mkeo kuna mambo kadhaa nayo ni:-
1- Mnapofanya mapenzi haujawai kumsisimua akafurahia, kwahiyo mapenzi yako kwake anakubali sababu tu we ni mumeo
2- Jikumbushe mwanzo mlikuwaje? pengine we kuna vitu umembadilisha akafikia hapo alipo sasa unalalamika.
3- We pengine kuna jambo ulimuudhi na haujawahi kumuomba msamaha akaridhia.
4- Pengine kutokana na udhaifu wako kimapenzi amemrudia jamaa wa zamani ambae alikuwa akikidhi haja yake ( siajabu kwako alikubali kuwa na wewe tu sababu ulikuwa unamuoa na pengine alifikiria kuwa atavumilia lakini hatmae ameshindwa sasa hizo ndizo alama kuwa humkidhi kimapenzi.
Chakufanya kama shida ni utalamu wa kudu ebu nitafute nikupe utalamu wakumfurahisha mkeo mpaka atashangaa ulikuwa wapi, wasiliana nami kwa mail gracesinaraha@yahoo.com then tutapeana no. za simu. tushauriane. Ningependa kuibadilisha ndoa yako isimame na idumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…