Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Imezoeleka kuwa wanandoa na watu walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi/mahaba huongozana kwenda kwenye sehemu mbali mbali, Harusini, Misibani, starehe na kushirikiana vitu kwa pamoja n.k. Je kwenye kupiga kura utaongozana na mmeo/mkeo, GF/BF wako na Je umewahi kujadili na mwenzio ni nani utakaye mpigia kura au kwa hili kila mtu kivyakevyake tu:israel: