Gorgeous96 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2019 Posts 293 Reaction score 691 Dec 9, 2022 #1 Ni sahihi mwanamke kutambaa kwa magoti wakati wa kupeleka keki kwa wakwe? Kwa mlio wahi kupiga magoti ukumbini au kushuhudia mna maoni gani kwenye swala hili?
Ni sahihi mwanamke kutambaa kwa magoti wakati wa kupeleka keki kwa wakwe? Kwa mlio wahi kupiga magoti ukumbini au kushuhudia mna maoni gani kwenye swala hili?
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Dec 9, 2022 #2 Wanaigiza tu ila mioyo yao hofya. Nawaza siku binti yangu akivalishwa pete yeye ndo apige magoti siyo kumpigisha kijana magoti.
Wanaigiza tu ila mioyo yao hofya. Nawaza siku binti yangu akivalishwa pete yeye ndo apige magoti siyo kumpigisha kijana magoti.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Dec 9, 2022 #3 Wengine huwa wanaamua wenyewe kutoka moyoni. Na mfano mzuri ni baadhi ya mabinti wa Kihehe na Kibena! Hawa viumbe wengi wao wana adabu mpaka wanakera! Yaani hawaigizi kama wale wenzangu wa Uzaramoni.
Wengine huwa wanaamua wenyewe kutoka moyoni. Na mfano mzuri ni baadhi ya mabinti wa Kihehe na Kibena! Hawa viumbe wengi wao wana adabu mpaka wanakera! Yaani hawaigizi kama wale wenzangu wa Uzaramoni.
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Dec 9, 2022 #4 Naanzaje kumkumbatia mama mzazi?!