Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hii tabia inatusikitisha kweli hasa sisi UWABATAUnatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani?
Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu mkamalizana? Huu sio uungwana.
Ustaarabu unasema mapema.98% ya wadada waliopanga mijini ni wafanyabiashara.
Sijakuelewa, yaani mapenzi lazima uwe na pesa? Kama muuzaji au mfika dau si anasema mapema? Ya kuuziwa na ya kupewa kwa bila kinyongo zina ladha tofauti acha kukoroma kibwege.Jifunzeni kusoma psychology za wanawake,kila mwanamke ana approach zake unapokutana naye siku 1 au 2 lazima utakuwa umisha msoma ni wa aina gani,acha lawama zisizokuwa na msingi.
Lingine usitafute mwanamke kama huna hela,utajisumbua bure na kumuona demu kama andharau kumbe tatizo in wewe.
[emoji122][emoji122][emoji122]Jifunzeni kusoma psychology za wanawake,kila mwanamke ana approach zake unapokutana naye siku 1 au 2 lazima utakuwa umisha msoma ni wa aina gani,acha lawama zisizokuwa na msingi.
Lingine usitafute mwanamke kama huna hela,utajisumbua bure na kumuona demu kama andharau kumbe tatizo in wewe.
Mimi siku zote nawalaumu watu wa mitandao ya simu.Unatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani?
Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu mkamalizana? Huu sio uungwana.
Umuangalie tu bira kuwa na muonekano wa pesa, labda wa huko mjini DarBado mnahangaika kuharibu sound zenu eti mnatongoza aisee
Hawa wanawake wa siku hizi ukifika tu ukaanza salam mkiangaliana tayari kashajua lengo lako hapo anakusikilizia wew pumzi zako,
Wewe omba tu utamu
Sasa unataka akamwombe nani?Unatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani?
Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu mkamalizana? Huu sio uungwana.
Hatari sana wanawake wa hivo ni wengi sana sema kuna baadhi tu ndo wanakaaibu, ila shida sio kupenda pesa shida nikupenda pesa ya ambayo hujaifanyia kazi hiyo mbaya sanaMleta mada umeongea point sana,Nakumbuka kuna manz nlimtokea alkuw ananipiga san kalenda mm nlijua labd ni mwelew na atakuw ametulia nkawa naenda nae kistaarab nlivokuj gundua ni mpenda pesa nikampa nkalamba mzgo ila nlitaka nimchane tu kuw kunizunguxh kote kumbe alkuw anashida na ela tu
Nlipolamba mzgo nkaachan nae coz alkuw anapenda pesa san