Kupiga mke ni lazima?

Kupiga mke ni lazima?

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Wanaopiga wake zao ni ushamba, uonevu au mapenzi?
 
hivi mpaka karne hii wapo wanaowadunda wake zao!!
 
kupigana katika ndoa ni matter ya survival na demise ya ndoa...so tafakari sana kabla hujarusha ngumi
 
Ushamba na ulimbukeni,wallahi nashindwa khasa kufahamu unampigaje mkeo halafu unakuja kulalanae?
 
Wanaopiga wake zao ni ushamba, uonevu au mapenzi?

Wanaopiga wake zao ni watu wasio na uwezo wa kukabiliana na changamoto za wake na kushindwa kudhibiti hasira zao.
Kimsingi ni maamuzi ya jazba ya hasira ya bila kufikiri.
 
Kumpiga mke ni mapenzi ila mke kumpiga mumewe ni uonevu..
Na kama wakipigana mbele ya watoto basi huo ni ushamba...
Source:Mimi mwenyewe mkurya

mh pacha!ngoja ninywe chai kwanza af nije!
 
nashangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!pacha wangu Snowball anasema ni mapenzi!

halafu nyie mapacha huwa mnanichanganya...nikiona majina yenu kama naona double double vile...mmefanana kama betri za National & Panasonic
 
too good huja-classify kupiga kupi....mimi napigaga sana.... nampiga mke wangu busu,,,,nampiga shopping ya nguvu.....nampiga bao.....This is my way
 
too good huja-classify kupiga kupi....mimi napigaga sana.... nampiga mke wangu busu,,,,nampiga shopping ya nguvu.....nampiga bao.....This is my way

SAFI!unakunywa kinywaji gani?
 
Kumpiga mke ni mapenzi ila mke kumpiga mumewe ni uonevu..
Na kama wakipigana mbele ya watoto basi huo ni ushamba...
Source:Mimi mwenyewe mkurya
Ahaaaaaaaa ndo maana yaani nilikuwa nimejitayarisha kubwatuka,ila ulivyosema we mkurya tu breki niliyopiga haina mfano.
 
too good huja-classify kupiga kupi....mimi napigaga sana.... nampiga mke wangu busu,,,,nampiga shopping ya nguvu.....nampiga bao.....This is my way

hata mi napiga sana! Ahahaha
 
Ushamba na ulimbukeni,wallahi nashindwa khasa kufahamu unampigaje mkeo halafu unakuja kulalanae?
Hewalaaaaa Asabaya hapo umenena kabisa yaani haingii akilini kabisa.Hebu toatoa somo lieleweke. kazia haswa kwa wenzetu wakina tatamura maanake hao naona ndo kuna shughuli pevu kwenye hilo swala.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom