Kupiga mwayo au miayo kunavyohusiana na nguvu ya Mungu ktk kuongoza watu

Kupiga mwayo au miayo kunavyohusiana na nguvu ya Mungu ktk kuongoza watu

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
mwili wa binadamu umeumbwa kwa umeme,hivyo huvutana,mnaweza kusana na MTU na cheche kutokea au mwale wa shoti hill halina ubishi,hivyo kupiga mwayo ni kuapudetiwa kwenye gridi yake Mungu ili atucontrol ndio mana kariakoo watu hawagongani wanapotembea ni mfumo wa ume wasme mwilini mwetu ndo hufanya kazi sensa

Uhusiano wake ktk kufanya kazi kwake

Ukiangalia musiki was Michael Jackson wimbo was thriller MTU mmoja anaanza kucheza na watu wanafuatia au wimbo was J.Lopez usemao Ain't ur mummy,utaona nguvu ya mwayo inavyounganisha watu

Watu wenye nyota,ktk kila sehemu Mungu ameng'arisha nyota za watu wachache ambao akicheka hivi ukimuangalia unaweza vutiwa nae nawe ukaanza kucheka kama yeye au mwendo wake mavazi,kuongea na kadhalika,hata akilia na wewe unajikuta unalia,hii watu huwa ktk rika lote kuanzia kwa watoto wapo mpaka wakubwa

Ndio mana Ktk jamii watoto hao hufundishwa kucheka,kula na mambo mengine kabla hawajawa wakubwa ili wasije kuwa wanakula vibaya na wengine wakaiga,na kwa kuwa ukiona kitu unaweza jikuta unakipenda ndio mana watu wengine huogopa kutembea au kuwaruhusu watoto wao kuangalia Picha au muvi mbaya mana wanaweza unga kama kupiga mwayo

Nb:Mungu yupo na husema na kila nafsi kikubwa ni kujisikiliza mwili kuna wakati unapaswa uwe mahali pengine huenda ungekutana na mtu ila kwa sababu hjisikilizi unakosa,mfano wanyama na Ndege hujisikiliza na kujua mahali Fulani Luna chakula au maji au huu mda was kuhama pori au mbuga hii na kwenda pengine na sio kunusa kwani Mungu huongoza viumbe na wanyama masaa yote halali

Mwandishi mashuhuri was hadithi Eric Shigongo aliwahi kili kuna roho inasema nae na kumuongoza,kweli huwezi tunga hadithi zote peke yako bila yeye Muumba,hill sikatai

Insta
 
inastaajabisha lakini inafikirisha sana vile vile inafundisha pia
 
Bila uchovu, bila njaa, na bila usingizi sijawahi kupiga miayo. Je ndo kusemaje hapo?
 
Endelea ku funguka jamaaa
 
Controversial mungu ni hadithi za kubuni na kutunga kwa jamii iliyokuwa haina majibu juu ya maswali waliokuwa hawana ujuzi nayo
 
Unajaribu kuzungumza kitu gani?...na lugha yako haieleweki...nadhani Siyo Kila mtu anauwezo wakutoa thread jamii intelligence Mfano hai ni thread yako..

Sometimes unakausha unakuwa msomaji tu Kama mimi..
 
Hii mbona mpya mm navyojua ni kwamba njaa,uchovu, usingizi ndo chanzo cha kupiga miayo.
 
Back
Top Bottom