Kupiga nye*o

Hauna Tatizo mkuu! Kutakuwa kunasababu inakufanya upige punyeto.. Kama ni muangaliaji wa Porno acha kuangalia, then automatically utaacha.
 
Dazipozi,

ujifunze kusalimia wenyeji wa nyumba.........yaani unaingia hata salaam hakuna, unaanza tu kueleza shida zako!!

Karibu sana mkuu.


Hahahahaa lol! Shida nyingine muhimu banaaa! πŸ™‚πŸ™‚....Mtu husahau hata kupiga hodi πŸ™‚ hata kabla hajasalimia kishaanza kueleza matatizo yake.
 
next time ukipata hamu piga kwa kutumia pilipili, utaacha mwenyewe!

Seriously, hilo tatizo umelijenga akilini mwaka. Mradi umetambua ukipata hamu fanya mazoezi,
 
unajua jina lako limefanana na tusi n*y#o&k.... m2 kaomba ushauri thn we unampa vitisho

majina huathiri sana ni vile sisi tunayachukulia poa tu, kwenye kabila letu, Ndyoko maana yake ni Makalio..
 
Mmh, pole sana ndugu yangu.waone wataalam wa saikolojia nina hakika watakusaidia.kwa kuanzia unaweza onana na bwana Dismas Lyasa wa gazeti la mwananchi.huyu jamaa ni mtaalam haswa wa mambo ya mahusiano yakiwemo mapenzi,mambo ya uchumi n.k.pia vilevile waweza onana na bw. joseph shaluwa wa magazeti ya kampuni ya global publishers hususani gazeti la risasi.kama una nia ya dhati,tafadhali onana na hawa jamaa, watakusaidia.
 
Hizi avatars za dada zetu hapa JF zingekuwa zinaweza kuongea zingepiga mayowe..lol
 
Karibu JF ndugu.

ushauri pekee, Acha kuwa domo zege, tafuta mpenzi ili uweze maliza shida zako huko. Loh!
Tatizo la nyeto linamadhara yake kisakologia.Mademu watamkimbia kutokana na akichomeka baada ya dakika mbili atakuwa amesharusha makombora.Inabidi haache nyeto kwanza na akae kwa muda bila kufanya tendo la ndoa.
 
We endelea tu.
Hakuna madhara ila utpata faida,na hakuna laana utakayo pata.
Faida wallet haita pungua,
Maradhi ya ngono utayasikia kwenye radio,
Hutapata usumbufu kama kuumwa kichwa au simu za malalamiko ya ajabu,
Na utakuw na muda mwingi wa kusaidia ndugu zako.
 
ndo maana hujaonja ladha ya ile kitu anh.
 
jitahdi kusocialize na vijana wenzako i hope utapata uvmbuzi.
 

Hizo ni faida chache za punyeto tupe na hasara zake.
 
Hahahahaa lol! Shida nyingine muhimu banaaa! πŸ™‚πŸ™‚....Mtu husahau hata kupiga hodi πŸ™‚ hata kabla hajasalimia kishaanza kueleza matatizo yake.

BAK,....yaani ukiwa na mgeni kama huyu mbona hata shida yake unaweza usimkilize...khaaaaa!!!!!

Uwe na siku njema.
 
Reactions: BAK
usiwasikilize wanaosema utafute demu, utapata ukimwi. we endelea na nyeto yako ni salama zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…