Kupiga nyungu kwa kiingereza (kitaalamu) wanaita Steam Therapy

Kupiga nyungu kwa kiingereza (kitaalamu) wanaita Steam Therapy

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habari za leo wakuu,

Leo nimekuja na somo tamu la kupiga nyungu.

Japo kuna baadhi ya wenzetu hasa wa upande wa pili wamekua wakibeza somo la kupiga nyungu.

Lakini ukweli ni kwamba Kupiga nyungu ni tiba ambayo hata wazungu wanaitumia sana kutibu magonjwa yanayo athiri mifumo ya upumuaji.

Nakumbuka miaka ya zamani pia kupiga nyungu ambayo kwa lugha ya kitalaam inaitwa steam inhalation ilitumika kutibu ugonjwa wa Surua.

Rejea hizi picha hapa steam therapy for cold - Пошук Google

Hivyo ukiwaona viongozi wanapiga nyungu Afrika hilo sio jambo la ajabu. Angalia hizo picha utajionea Wazungu wenyewe wanapiga nyungu hapo na hawaja anza leo. Kwa kifupi sisi ndio tumechelewa kuanza kupiga nyungu.

Lakini pia kuna andiko hapa chini nalo pia linazungumzia swala la kupiga nyungu. Kama unaweza kujisomea kiingereza nadhani utaelewa, kwenye hili andiko utaona jinsi kupiga nyungu kunavyoleta (steam inhalation) kunavyoleta matokeo chanya kwa wagonjwa ya mfumo wa upumuaji.



Coronavirus: Italian study adds heat to debate over steam therapy

Kwa hiyo tusishangaeni wewe endelea kusubiri dawa ya hospitali na chanjo sisi tunaendelea kufanya steam therapy.
 
Back
Top Bottom