M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,108 Reaction score 5,110 Sep 15, 2015 #1 Wadau naomba mnisaidie kifungu cha sheria kinachohusika na kupiga picha mgonjwa bila idhini yake.
born again pagan JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 2,336 Reaction score 1,491 Sep 15, 2015 #2 MIGNON said: Wadau naomba mnisaidie kifungu cha sheria kinachohusika na kupiga picha mgonjwa bila idhini yake. Click to expand... Wewe nawe kila kitu unalalamika,mbona Low wasah ni mgonjwa na anapigwa picha kila siku wala halalamiki.
MIGNON said: Wadau naomba mnisaidie kifungu cha sheria kinachohusika na kupiga picha mgonjwa bila idhini yake. Click to expand... Wewe nawe kila kitu unalalamika,mbona Low wasah ni mgonjwa na anapigwa picha kila siku wala halalamiki.