Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Matapeli ndio wanapenda maana inakutengenezea kuaminika kwa watu.Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali.
Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
Mi nilijua labda wanaenda kuchukulia mikopo kwa hizo pichaHutumika kujiliwaza kwamba katika maisha mpiga picha na kiongozi na yeye alifahamika.Pia hutumika kufanyia utapeli.Mtu anaonesha pita kwa "wakuja" na kumdamganya huyo kwenye picha ni rafiki yake mkubwa sana,bosi wake au mshirika katika biashara halafu anatumia kutapeli.Hata hivyo, wengine ni "ugonjwa" wao kupenda "selfies" na viongozi tu.Hahahahaaa
Inawezekana mkuuutapeli tu............................................oooooooh njoo nikufanyie connection si unacheki hii picha nipo na ummy mwalimu
ha ha ha
hatari sana mkuuKiuchumi huwa haziongezi Wala kupunguza kitu. Lakini kiroho unakua na amani Sana na kujiona umefanikiaa Jambo kubwa maishani mwako. Unajua sometimes unaweza kupigwa na maisha lakini ukiangalia picha enzi ukiwa njema unafaeijika na kujiona Imani.
1.Just to have memory to the person you love.Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali.
Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
Wana JF wanakudanganya tu,hua wanaichukulia mikopo Kule Finca,BRAC na taasisi nyinginezoMi nilijua labda wanaenda kuchukulia mikopo kwa hizo picha