Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona makalio yapo kwetu hayapo kwa churchHuyu hajielewi.
Anaonyesha makalio wakati jengo lililoko mbele yake ni sehemu ya Ibada??
Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.Huyu hajielewi.
Anaonyesha makalio wakati jengo lililoko mbele yake ni sehemu ya Ibada??
Acha ngano na magugu yastawi pamoja, mvunaji atafanya kazi yake.Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.
Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.
Hii ni dharau kubwa sana.
Bila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.Mbona makalio yapo kwetu hayapo kwa church
Wana msemo Mungu hahukumu mavazi anahukumu nafsi🙌Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.
Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.
Hii ni dharau kubwa sana.
📌📌👊Bila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.
Nakuhakikishia picha moja hii hii ingekuwa Hilo jengo ni msikiti reaction yake inhekuwa tofauti kabisa na ulichokommenti.
Waislamu wanapaswa kutufunza nini maana ya maadili.
Sawa mkuuBila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.
Nakuhakikishia picha moja hii hii ingekuwa Hilo jengo ni msikiti reaction yake inhekuwa tofauti kabisa na ulichokommenti.
Waislamu wanapaswa kutufunza nini maana ya maadili.
Ila imezidi jamani ..hakuna utukufu kabisaAcha ngano na magugu yastawi pamoja, mvunaji atafanya kazi yake.
HakikaAcha ngano na magugu yastawi pamoja, mvunaji atafanya kazi yake.
Ndiyo maana Hadi mnaambiwa muache kazi alafu hela mumpelekee mchungaji Kisha mufunge kavu Kama Yesu alafu mufe muende mbinguni. Matokeo yake mnakufa Kama kuku alafu mchungaji anawazika kaburi la halaiki huku yeye akiendelea kula Bata. Haya ya Kenya yatajirudia Bongo kwa mindset hizi za acha magugu na ngano ziote pamoja.Acha ngano na magugu yastawi pamoja, mvunaji atafanya kazi yake.
Rudisha upanga alani mwake.Ndiyo maana Hadi mnaambiwa muache kazi alafu hela mumpelekee mchungaji Kisha mufunge kavu Kama Yesu alafu mufe muende mbinguni. Matokeo yake mnakufa Kama kuku alafu mchungaji anawazika kaburi la halaiki huku yeye akiendelea kula Bata. Haya ya Kenya yatajirudia Bongo kwa mindset hizi za acha magugu na ngano ziote pamoja.
Ukristo umevamiwa na walanguzi na wezi,mnatafsiri vibaya sana maandiko ya Biblia.
Wakatoriki wameshaanza kustuka siku hizi.Wana msemo Mungu hahukumu mavazi anahukumu nafsi🙌
Wanakuambia makanisa yanajiita free church🙌..ukivaa trouser wewe tu ....tunaunajisi sana ukristoWakatoriki wameshaanza kustuka siku hizi.
Ukija kanisani na kimini chako unarudishwa nyumbani ukavae vizuri,kanisa siyo sehemu ya kukaa uchi Kam bar eti Mungu ndiye anahukumu.
Hawa wakristo uchwara wasioijua biblia wanasahau Yesu alipoona mambo ya kijinga yanafanyika nyumba ya ibada alivunja vunja meza na kuharibu biashara zao na kuwafungulia njiwa waliokuwa wanauzwa waruke. Yesu Wala hakusubiri Mungu ahukumu,alihukumu yeye maana lilikuwa ndani ya uwezo wake.
Misingi ya dini ikikiukwa tusimsingizie Mungu atahukumu jamani. Mungu ana mengi ya kufanya kuliko kudeal na kesi ya Malaya anayepiga picha makalio kwenye nyumba ya ibada eti atamhukumu yeye. Tunatia aibu wakristo.
Kasome vizuri biblia kijana. Ukristo upo imara na Sheria zipo wazi ila mnaojiita wakristo ndyo mnapotosha na kumsingizia Mungu ahukumu kesi ya Malaya kupiga picha kanisani.Rudisha upanga alani mwake.
Ndiyo maana kila siku Hawa wapuuzi wanatupa kazi ya kujibizana na kuutetea ukristo ulioporomoka maadili na watu wasiokuwa wakristo kwa mambo ya kisenge ya kufunga ndoa kanisani.Wanakuambia makanisa yanajiita free church🙌..ukivaa trouser wewe tu ....tunaunajisi sana ukristo