Kupiga Picha unavuta shisha

Wandugu, Kuna kosa gani kama nikipiga picha navuta shisha?

Piga tu sio kosa usisahau kutaja sehemu uliyopigia hiyo picha mfano coco beach, Sea cliff, at my house in Mbagala....
 
Hakuna kosa mkuu be free
Ni sawa tu utavyopiga unakunywa bia
Na huenda hiyo pic yako ikawa "best pic of de year"
 
piga mwanakwetu wala usihofu, tena ukiweza tuma thread kwenye mitandao ya kijamii ukitag Makonda, kula raha, maisha yenyewe mafupi, kwa kifupi SHISHA IMEPATA MTU au MTU AMEPATA SHISHA
 
Hakuna tatizo we piga sheria tumeekewa tuzijarb kama zinafanya kazi..
Kwan kuna shida nikipost huku navuta mmea
 
natuma picha sio muda mrefu
 
hamna tatizo lolote tena huo ndo utandawazi siku hiz mambo yamebadilika be free kabisa
 
Usisahau baada ya miaka kadhaa kuongeza picha kutuonyesha safari ya kuelekea India for Cancer treatment...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…