kupiga sana miayo

kupiga sana miayo

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
nina tatizo la kupiga sana miayo hasa mida ya asubuhi na jioni hadi machozi yananitoka.........is that a problem?how can i help myslef
 
Ongea vizuri na MZIZI MKAVU, natumai anaweza kukusaidia zaidi.
 
Kupiga sana miayo na kama inaambatana na kuchoka (uchovu) na kusinzia ni dalili za maabukizi (systemic infection)-nenda hospitali ukafanyiwe vipimo
 
Back
Top Bottom