mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 768 Jan 28, 2014 #1 nina tatizo la kupiga sana miayo hasa mida ya asubuhi na jioni hadi machozi yananitoka.........is that a problem?how can i help myslef
nina tatizo la kupiga sana miayo hasa mida ya asubuhi na jioni hadi machozi yananitoka.........is that a problem?how can i help myslef
K kiface Senior Member Joined Jan 23, 2014 Posts 151 Reaction score 61 Jan 28, 2014 #2 Ongea vizuri na MZIZI MKAVU, natumai anaweza kukusaidia zaidi.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,118 Reaction score 1,875 Jan 28, 2014 #3 Kupiga sana miayo na kama inaambatana na kuchoka (uchovu) na kusinzia ni dalili za maabukizi (systemic infection)-nenda hospitali ukafanyiwe vipimo
Kupiga sana miayo na kama inaambatana na kuchoka (uchovu) na kusinzia ni dalili za maabukizi (systemic infection)-nenda hospitali ukafanyiwe vipimo