Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,170 Reaction score 6,757 Jun 1, 2023 #1 Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
zugimlole JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,078 Reaction score 1,352 Jun 1, 2023 #2 Waoneshe megaprojects wakati huu oooh tunamalizia miradi basi leteni hata plan tuone
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Jun 1, 2023 #3 Taratibu ndo mwendo
MKANDAHARI JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 5,727 Reaction score 6,615 Jun 1, 2023 #4 Nyankurungu2020 said: Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi Click to expand... Umejitafutia mwenyewe kuitwa mbwa. Uzi gani huu sasa?
Nyankurungu2020 said: Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi Click to expand... Umejitafutia mwenyewe kuitwa mbwa. Uzi gani huu sasa?
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Jun 1, 2023 #5 Na uwanja wa chato je?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jun 1, 2023 #6 Nyankurungu2020 said: Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi Click to expand... Hivi esijiara ya MoroDar imeishia wapi
Nyankurungu2020 said: Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi Click to expand... Hivi esijiara ya MoroDar imeishia wapi
K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,891 Reaction score 8,448 Jun 1, 2023 #7 Nyankurungu2020 said: Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi Click to expand... Majinga chadema hayana yanachokielewa
Nyankurungu2020 said: Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi Click to expand... Majinga chadema hayana yanachokielewa
Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,170 Reaction score 6,757 Jun 1, 2023 Thread starter #8 Mcqueenen said: Na uwanja wa chato je? Click to expand... Unapiga kazi