Kupigana na kutukana hadarani ni makosa kisheria kulingana na Kifungu cha 87 na 89 cha kanuni ya adhabu

Kupigana na kutukana hadarani ni makosa kisheria kulingana na Kifungu cha 87 na 89 cha kanuni ya adhabu

Joined
Oct 26, 2021
Posts
99
Reaction score
294
Kifungu cha 87 cha kanuni ya Adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2002 kinazuia watu kupigana adharani na mtu yeyote atakayepigana adharani, adhabu yake ni kifungo cha miezi sita jela.

Kifungu cha 89 cha sheria iyo iyo kanuni ya adhabu sura ya 16 kinakataza mtu yeyote kutumia lugha za matusi adharani, au lugha ya kinyaa au maneno ambayo yataleta na kuzua taharuki.

"....(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani..."

Kuwa makini usivunje sheria
 
Sasa mbona dula mbabe na twaha kiduku wanapenda sana kutwangana tena mbele ya mKamera...
 
Back
Top Bottom