Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
55k ni neema haswaHiyo fiber watuletee na sie watu wa Mbezi Mwisho tule neema
Habari mdau,,kupitia maelezo toka Kwa staff wa TTCL walisema kuwa serikali kupitia TTCL wamewekeza Hela nyingi kwenye hii fiber project ndo maana hakuna installation fee unatakiwa kulipia tu monthly fee, tofauti na isp wengine.. na wanatazamia huu uwekezaji utalipa in long term Kwa kutegemea malipo ya watumiaji wake..usidhani wanapenda kukusumbua Kuna gharama kubwa imetumika kukufanyia installation..Jamani sisi office huwa tunalipia TTCL Fiber internet kwa mwezi ile unlimited 55k and speed ipo vzuri ingawa kuna muda network inazinguaga.
Basi sasa, mwezi huu hatujalipia tumeamua kukausha, izo simu sasa kila siku kutukumbusha? Why? Jamani, hii ni kodi?Mnatudai?
Sisi hatujui kwamba Internet imeisha? Lazima tulipie kila mwezi? Tuna mkataba wa kutulazimisha tulipie kila mwezi? Mnaboa.
Hata kama mnatafuta wateja sio kwa staili hii, nimeshachoka na nilishawajibu msinipigie simu kwa huo upumbavu unless kuna kitu cha muhimu.
Nikitaka internet nitalipia ila kwa muda ninaojisikia.
Voda wako vizuri.Wangekuwa serious wanataka kulipwa mbona wasingekuwa wanawazungusha watu kwenye kuwafungia ki fiber chao.
Kausha damu haoVoda wako vizuri.
Mbona bei simple tu mzee, ukiwa 100K watumia mwezi mzima.Kausha damu hao
Mbona bei simple tu mzee, ukiwa 100K watumia mwezi mzima.
KI FIBER ha ha ha ha!!!!Wangekuwa serious wanataka kulipwa mbona wasingekuwa wanawazungusha watu kwenye kuwafungia ki fiber chao.
We sitofanya huo ujingaSijui ni bei ya kifurushi gani hicho umezungumzia ila navyojua bei zao zimeanzia 115K na hiyo ni 4G tena ya 20Mbps
Lakini sababu ya kuwaita kausha damu haitokani na bei zao.
Bali mfumo wao wa malipo, ukilipia leo ukatumia mwezi mzima mpaka siku ya mwisho kifurushi kinapo expire, wanataka uendelee kulipia tu.
Usipolipia ukasema ulipie mwezi ujao utalazimika kulipia ule mwezi ambao hukutumia huduma.
Kwa hiyo kama ulikaa miezi mitano bila kulipia hiyo miezi yote wao wanahesabu deni japokuwa kwa wakati huo huduma hiyo ya internet hupati.
.Siku ukitaka kulipia tu utahitajika kufidia hiyo miezi sita
Sisi wengine tunazungushwa nyie mnafungiwa alafu hamtaki kutumia🤣🤣 hii nchi matatizo sanaJamani sisi office huwa tunalipia TTCL Fiber internet kwa mwezi ile unlimited 55k and speed ipo vzuri ingawa kuna muda network inazinguaga.
Basi sasa, mwezi huu hatujalipia tumeamua kukausha, izo simu sasa kila siku kutukumbusha? Why? Jamani, hii ni kodi?Mnatudai?
Sisi hatujui kwamba Internet imeisha? Lazima tulipie kila mwezi? Tuna mkataba wa kutulazimisha tulipie kila mwezi? Mnaboa.
Hata kama mnatafuta wateja sio kwa staili hii, nimeshachoka na nilishawajibu msinipigie simu kwa huo upumbavu unless kuna kitu cha muhimu.
Nikitaka internet nitalipia ila kwa muda ninaojisikia.
mkuu huduma hii kwa kinondoni ipo? kinondoni mkwajuni55k ni neema haswa