Kupigwa picha na kujipiga selfie kipi ni raha

Kupigwa picha na kujipiga selfie kipi ni raha

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Nafikiri selfie ndo best sababu unachagua ni namna gani nzuri uonekane japo hata picha ya kupigwa sio mbaya ila sometimes unaweza kupigwa picha usiyo ipenda.
 
Kugegeda ndio raha zaidi hayo mengine ni nakadharika.
 
Picha ya full mm ndio huwa naipenda. Hayo maselfie naona yanapendwa sana na dada zetu hawa sana sana.
 
Back
Top Bottom