LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Wadau za leo?
Bila shaka wote tunafahamu hii bidhaa ya Microwave/Microwave Oven/Microwave Oven and Grill.
Wengi tumeizoea kuitumia kwa kupasha japo ina matumizi zaidi ya hayo..kupasha mara nyingi ndani ya dk 5 chakula kipo tayari.
Kama ni cha baridi basi ukianzia defrost na badae kuongeza moto kinakua tayari ndani ya muda mfupi.
Lakini sote tunaona Microwave zina hadi dakika 30, ukitumia dakika 30 na Maximum heat bila shaka unaweza pika vingi sana
ili kufahamu zaidi namna ya kuitumia naomba tushirikishane ni vyakula gani unapikia ama unahisi unaweza pikia kwenye microwave?
Nimewahi jaribu
1. Kuchoma viazi vitamu naamini na ndizi mzuzu itakubali pia,..cha msingi ukishaiandaa ichome chome na kisu au uma/fork au pasua kidogo ili ipate hewa muda wa kuiva iive hadi ndani naweka dk 10 medium na 10 high heat
2. Mboga mboga mix -mfano carrots na brocolli natia chumviolive oil kidogo na maji kidogo sn naweka dk 10 medium heat
3. Samaki nlimuwekea viungo nkamuweka kwenye platter, shida alitoka amekaukaa uyoo mana microwave ina sifa ya kukausha vitu ndo nikajifunza kuwa na chombo na mfuniko wake kama nahitaji chakula kisikauke sana
Nataka kujaribu
- Pizza
- Macaroni and cheese
- Wali
- Keki
- Tambi
- Scrambled eggs
- Mboga za majani niweke kitunguu, chumvi, mafuta nk
Lakini tusisahau Microwave inachagua vyombo. Hivyo hupenda kutumia Caserole/Baking dish sasa Kiswahili sijui zinaitwaje lakini ni vyombo vya udongo vizito ambavyo vimeandikwa 'microwave safe'.
Wewe je Unaweza kuitumiaje Microwave yako?
Unaweza choma nyama? Kuku? Samaki?
Mana kuna option ya 'grill'
Nawasilisha