T tanfossil Member Joined Jun 2, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Aug 22, 2012 #1 Tafadhali je wajua wapi niende kupima macho hapa dar? Nimeenda mahali mmoja hapo msimbazi lakini sija pata ushauri vizuri.
Tafadhali je wajua wapi niende kupima macho hapa dar? Nimeenda mahali mmoja hapo msimbazi lakini sija pata ushauri vizuri.
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 22, 2012 #2 zipo clinic ndogo ndogo nyingi mkuu, kama pale BARAKA PLAZA...santas clinic ila CCBRT nadhani ni wataalamu wa hayo majambo! ipo MSASANI pale na kituo kinaitwa MACHO.
zipo clinic ndogo ndogo nyingi mkuu, kama pale BARAKA PLAZA...santas clinic ila CCBRT nadhani ni wataalamu wa hayo majambo! ipo MSASANI pale na kituo kinaitwa MACHO.
kasingo Member Joined Oct 17, 2010 Posts 67 Reaction score 21 Aug 22, 2012 #3 Kuna sehemu nyingi za kupima macho unaweza kwenda pale Ilala bunguni au Maeneo ya Clock tower