Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Huyo mtu ni weweNatumai hamjambo wanajukwaa wote. Jana nimesikia kituko nikacheka sana na sikuamini. Kuna mtu alitumia vidonge vya p2 ss amechelewa kuingia hedhi ss kuna siku akawa anajisikia kichwa kinauma akaenda hosp. Dr akamuuliza je u mjamzito mdada akakataa na alienda na mama yake so Dr akaona acha ampime kwanza mimba ati akatoa damu akaiweka kwenye kifaa fulani kina maji kisha akaangalia akasema hana mimba tupime malaria.
SWALI:: Je hyo ni teknolojia gani kupima ujauzito kwa kutumia damu na maji???