kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
Habari wana-jf.
Kwa heshima na taadhima, nawasalimu wote!
Kwa yeyote anaefahamu, naombeni mnihabarishe kuhusu hili: Ni sehemu/hospitali gani apa Dar wanapima Testosterone hormone (as regards to upungufu wa nguvu za kiume) kwa bei nafuu?? naombeni mnijuze iyo hospitali (nataka hospitali ya private, maana za serikali kuna foleni sana kupata huduma). Nikijua na price yake kabisa kwa icho kipimo nitashukuru zaidi.
Nawasilisha wapendwa.
Many thanks in advance to all for any help-info you may render to me. Mbarikiwe sana!