Lububi JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,158 Reaction score 3,808 Oct 8, 2023 #1 Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai. Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja? Bajet yake ni sh ngap? Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo. Natanguliza shukran
Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai. Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja? Bajet yake ni sh ngap? Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo. Natanguliza shukran
Seeker Seeker JF-Expert Member Joined Dec 15, 2020 Posts 213 Reaction score 298 Oct 8, 2023 #2 Muhumbili huhakika ila sijajua gharama
P Petrowella58 New Member Joined Dec 27, 2020 Posts 3 Reaction score 1 Oct 16, 2023 #3 Swali zuri sana hilo