Kupima udongo kwa ajili ya kilimo

Kupima udongo kwa ajili ya kilimo

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Habari

Sisi tunapima udongo kwa ajili ya kilimo cha kisasa unafaa kwa kilimo na uchimbaji wa visima kuanmgalia kama katika eneio lako kuna maji au hakuna. Unapima udongo ili kujua kama udongo unafaa kwa kilimo kama hiki katika shamba langu:

https://www.youtube.com/watch?v=yCu2nghcDR4&feature=youtu.be

Bei kupima udongo kwa ajili ya kilimo ni laki na nusu na kupima kujua kama kuna maji ni laki kujua kama maji yako ya kisima yanafaa kunywa ni laki na nusu

0758 308193
 
Faida za kupima udongo:

1. Kuna meneo ambayo huwa nyanya haikubali ila mazao mengine yanakubali sasa huwa tunapima ili kujihadhari kutokuweka pesa zako katika eneo ambalo baadae utapata hasara

2. Ili kujua ni jinsi gani unaweza libadili eneo lisilokubali nyanya likubali nyanya kuota

3. Kujua kama maji yanayopattikana katika eneo lako yanafaa kunywa
 
Mkuu project yenu iko bomba sana kwasababu Hapa TZ Wakulima wengi hawanufaiki na kilimo kutokana na kutojua hbr ya Viinilishe vilivyomo ktk ardhi zao,Shime watz changamkieni fursa hiyo.
 
Shamba langu ni kubwa ninataka kupima maji sehemu tatu tofauti ndani ya shamba moja, je bei yake ni moja au vipi?

Sina usafiri je uko tayari kupanda daladala na bodaboda hadi shambani?
 
Mnaweza kupima udongo ili kujua shamba linaweza kutoa maji ya kawaida au ya chumvi?
 
Shamba langu ni kubwa ninataka kupima maji sehemu tatu tofauti ndani ya shamba moja, je bei yake ni moja au vipi?

Sina usafiri je uko tayari kupanda daladala na bodaboda hadi shambani?

shamba lako liko wapi?
 
Mlishatuambia kuwa, mnaweza kupima na kujua kama maji yanafaa kwa kunywa. Lakini pia mnakanusha kuwa hamuwezi kuyatambua maji ya chumvi au la! Hebu nifafanulie maji ya kunywa yana sifa zipi
 
Kaka nadhani hukusoma vizuri tangazo letu. Ningeomba usome vizuri. Jamaa hapo juu aliulizia km kwa kutumia sampo ya udongo unaweza tambua km maji ni ya chumvi au la. Kwa sampo ya udongo haitambui. Ila ni mpaka uchimbe na upate maji ukayapime ndio utagundua km yanafaa nadhani umenipata

Unapima udongo kujua km maji yapo

Ukishapata maji ndo unayapima km yanafaa
 
Habari

Sisi tunapima udongo kwa ajili ya kilimo cha kisasa unafaa kwa kilimo na uchimbaji wa visima kuanmgalia kama katika eneio lako kuna maji au hakuna. Unapima udongo ili kujua kama udongo unafaa kwa kilimo kama hiki katika shamba langu:

https://www.youtube.com/watch?v=yCu2nghcDR4&feature=youtu.be

Bei kupima udongo kwa ajili ya kilimo ni laki na nusu na kupima kujua kama kuna maji ni laki kujua kama maji yako ya kisima yanafaa kunywa ni laki na nusu

0758 308193

Ofisi zenu ziko wapi hapa Dar? Na je, Mikoani nako mna matawi?
 
Watu wa mikoani wanaulizia km na wao tunawapimia. Sisi tunapimia watu wa Dar, Kibaha na Moro tu
 
Je kwa wale wa JARIBU MPAKANI (katika mpaka wa wilaya za Mkuranga na Rufiji, mkoani Pwani kwenye barabara ya Dar-Mtwara) mnawapa nao huduma hiyo?
 
Nipigie naweza kukuelekeza jinsi ya kugundua maji ktk eneo lako
 
Back
Top Bottom