Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
Mnaweza kupima udongo ili kujua shamba linaweza kutoa maji ya kawaida au ya chumvi?
Shamba langu ni kubwa ninataka kupima maji sehemu tatu tofauti ndani ya shamba moja, je bei yake ni moja au vipi?
Sina usafiri je uko tayari kupanda daladala na bodaboda hadi shambani?
Tunaweza tambua tu kama kuna maji ila hatuwezi jua km ni ya chumvi au vipi
shamba lako liko wapi?
Mlishatuambia kuwa, mnaweza kupima na kujua kama maji yanafaa kwa kunywa. Lakini pia mnakanusha kuwa hamuwezi kuyatambua maji ya chumvi au la! Hebu nifafanulie maji ya kunywa yana sifa zipi
shamba lako liko wapi?
Habari
Sisi tunapima udongo kwa ajili ya kilimo cha kisasa unafaa kwa kilimo na uchimbaji wa visima kuanmgalia kama katika eneio lako kuna maji au hakuna. Unapima udongo ili kujua kama udongo unafaa kwa kilimo kama hiki katika shamba langu:
https://www.youtube.com/watch?v=yCu2nghcDR4&feature=youtu.be
Bei kupima udongo kwa ajili ya kilimo ni laki na nusu na kupima kujua kama kuna maji ni laki kujua kama maji yako ya kisima yanafaa kunywa ni laki na nusu
0758 308193
Mkuu Biashara2000 umejibu kipengele kimoja cha umbali wa shamba ILA hujajibu kama shamba ni kubwa uta-charge kila sehemu?
Ofisi zenu ziko wapi hapa Dar? Na je, Mikoani nako mna matawi?
Ofisi zenu ziko wapi hapa Dar? Na je, Mikoani nako mna matawi?
Je kwa wale wa JARIBU MPAKANI (katika mpaka wa wilaya za Mkuranga na Rufiji, mkoani Pwani kwenye barabara ya Dar-Mtwara) mnawapa nao huduma hiyo?Watu wa mikoani wanaulizia km na wao tunawapimia. Sisi tunapimia watu wa Dar, Kibaha na Moro tu
Nipigie naweza kukuelekeza jinsi ya kugundua maji ktk eneo lakoJe kwa wale wa JARIBU MPAKANI (katika mpaka wa wilaya za Mkuranga na Rufiji, mkoani Pwani kwenye barabara ya Dar-Mtwara) mnawapa nao huduma hiyo?